Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alipigwa risasi kichwani, mkononi na mguuni na vikosi vya usalama wakati wa mapigano katika maandamano katika Kituo cha Ukaguzi cha Qalandia ya kupinga hatua za jeshi katika Operesheni “Protective Edge”. Kwa mujibu wa uchunguzi wa B’Tselem, marehemu hakufyatua risasi wala hakuwa na silaha kama jeshi lilivyodai. Uchunguzi wetu unaonyesha kuwa kulikuwa na ufyatuaji risasi wa Wapalestina wakati wa maandamano, lakini katika hatua ya baadaye, baada ya A'araj kuuawa shahidi.
Maandishi asilia
Shot in the head, arm and leg by security forces during clashes at a demonstration at Qalandia Checkpoint protesting the military’s actions in Operation Protective Edge. According to B’Tselem’s investigation, the deceased neither fired nor was he armed as the military alleged. Our investigation indicates there was Palestinian gunfire during the protest, but at a later stage, after A'araj had been killed.