Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi kwa risasi na wanajeshi katika kituo cha ukaguzi kwenye lango la kuingia Bani Na’im. Kwa mujibu wa kitengo cha Msemaji wa jeshi la Israel, alipigwa risasi baada ya kujaribu kumchoma kisu mwanajeshi. Ushuhuda uliopatikana na B’Tselem unaonyesha kwamba wanajeshi waliendelea kumfyatulia risasi Tarayrah baada ya kupigwa na kulala chini.
Maandishi asilia
Shot to death by soldiers at the checkpoint at the entrance to Bani Na’im. According to the IDF Spokesperson’s unit, he was shot after trying to stab a soldier. Testimonies obtained by B’Tselem indicate the soldiers continued to fire at Tarayrah after he had been hit and was lying on the ground.