Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi kwa risasi za Polisi wa Mpakani katika Kituo cha Ukaguzi cha Kaburi la Mababu. Ripoti za vyombo vya habari ziliwanukuu polisi wakisema kwamba Irsheid alijaribu kuwachoma kisu maafisa wa polisi, lakini uchunguzi wa B’Tselem unaonyesha kwamba alipigwa risasi akiwa ameinua mikono juu kwa kutii agizo la maafisa wa polisi kituoni hapo.
Maandishi asilia
Shot dead by Border Police at the Patriarchs’ Tomb Checkpoint. Reports in the media quoted the police stating that Irsheid had tried to stab police officers, yet B’Tselem’s inquiries indicate that she was shot with her hands raised in the air in compliance with the demand of police officers at the checkpoint.