Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Mke wa Nizar Rayan, afisa mwandamizi wa Hamas. Aliuawa shahidi pamoja na wanafamilia wake 15 nyumba ya familia ilipopigwa kwa bomu. Jeshi linadai kwamba nyumba hiyo ilitumika kuhifadhi risasi na kwamba handaki lilikuwa limejengwa chini yake. Jeshi liliionya familia, lakini walikataa kuondoka.
Maandishi asilia
Wife of Nizar Rayan, a senior Hamas official. She was killed along with 15 members of her family when the family's house was bombed. The army contends that the house was used to store ammunition and a tunnel had been built under it. The army warned the family, but they refused to leave.