Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Mtoto wa miezi tisa. Aliuawa shahidi nyumbani pamoja na mama yake, dada yake na kaka yake. Baba yake na wakazi wengine 13 wa jengo hilo walijeruhiwa. Kwa mujibu wa jeshi, mtandao wa mahandaki ya Hamas ulipita karibu na nyumba hiyo.
Maandishi asilia
Nine months old. Killed at home with his mother, sister and brother. His father and 13 other occupants of the building were injured. According to the military, the Hamas tunnel network passed by the house.