Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi pamoja na wazazi wake na ndugu zake wawili wadogo, mmoja wao mtoto mchanga, nyumba za familia hiyo zilipolipuliwa kwa mabomu. Mjomba wake, aliyejeruhiwa katika shambulio hilo, alikufa shahidi kutokana na majeraha yake tarehe 22 Novemba 2019. Shangazi yake na binamu zake wawili wadogo walijeruhiwa pamoja na watu wengine 8, 7 kati yao watoto.
Maandishi asilia
Killed along with his parents and two of his minor siblings, one of them a toddler, when the family homes were bombed. His uncle, who was wounded in the attack, died of his wounds on 22 November 2019. His aunt and two of his minor cousins were wounded along with 8 other people, 7 of them minors, were wounded.