Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi pamoja na binamu yake na babu yake nyumbani kwa babu yake baada ya nyumba hiyo kuporomoka. Mwanafamilia mwingine alijeruhiwa katika nyumba ya jirani na baadaye aliuawa shahidi kutokana na majeraha yake.
Maandishi asilia
Killed together with his cousin and grandfather in his grandfather's home after it collapsed. Another member of the family was injured in the adjacent house and died later of his injuries.