Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Mtoto mchanga wa kike wa miezi mitatu aliuawa shahidi nyumbani. Mashambulizi hayo ya makombora pia yalimuua shahidi mvulana wa miaka 15 nyumbani kwake na wanaume wawili, mmoja wao mfanyakazi wa UNRWA, waliokuwa wakisafiri ndani ya gari la UNRWA.
Maandishi asilia
Three-month-old baby girl killed at home. The shelling also killed a 15-year-old boy in his home and two men, one an UNRWA employee, who were riding in an UNRWA car.