Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi kwa risasi kiwiliwilini zilizofyatuliwa na maafisa wa Polisi wa Mpakani. Polisi wanasema alipigwa risasi baada ya kumchoma kisu na kumjeruhi kidogo afisa wa Polisi wa Mpakani.
Maandishi asilia
Killed by gunshots to the torso fired by Border Police officers. The Police say he was shot after he stabbed and slightly injured a Border Police officer.