Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Mwanamume aliyekuwa na ugonjwa wa akili, aliuawa shahidi kwa risasi za wanajeshi wa Israel alipokuwa akizurura usiku wa manane kati ya Khan Younis na Rafah, takriban mita 500 kutoka mpakani.
Maandishi asilia
Man who suffered from mental illness, shot and killed by IDF soldiers when wandering late at night between Khan Yunis and Rafah, about 500 meters from the border.