Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alikuwa mkurugenzi wa Msalaba Mwekundu mjini Jenin. Aliuawa shahidi alipokuwa akisafiri ndani ya gari la wagonjwa kwenda kuwahamisha watu waliojeruhiwa kutoka kambi ya wakimbizi ya Jenin.
Maandishi asilia
Was the director of the Red Cross in Jenin. Killed while riding in an ambulance to evacuate people who had been wounded from the Jenin refugee camp.