Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Mwanamume aliyekuwa na ugonjwa wa akili, aliuawa shahidi kwa risasi alipoingia katika kitalu cha makazi ya walowezi. Hakuwa na silaha.
Maandishi asilia
Man who suffered from mental illness, shot to death when he entered a settlement's a greenhouse. He was unarmed.