Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi kwa kombora baada ya kuvuka uzio wa mpaka pamoja na vijana wengine watatu. Wanne hao walichoma moto kituo cha kijeshi na kujaribu kurejea Gaza. Wale watatu wengine walijeruhiwa.
Maandishi asilia
Killed by missile after crossing the perimeter fence with three other youths. The four torched a military post and attempted to return to Gaza. The other three were wounded.