Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi kwa risasi za mlinzi wa makazi ya walowezi baada ya kuwachoma kisu, pamoja na Mpalestina mwingine, wanawake wawili, raia wa Israel. Mshambuliaji huyo mwingine pia aliuawa shahidi kwa risasi. Mmoja wa wanawake waliojeruhiwa alifariki kutokana na majeraha yake siku iliyofuata. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, mwanamke mwingine alipata majeraha ya wastani.
Maandishi asilia
Shot dead by the settlement guard after stabbing, together with another Palestinian, two women, Israeli civilians. The other assailant was also shot dead. One of the injured women died of her wounds the next day. According to media reports, the other woman sustained moderate injuries.