Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi nyumbani kwa binti yake. Nyumba hiyo inapakana na nyumba ya familia ya Abu Suleiman iliyoshambuliwa kwa mabomu. Shambulio hilo liliwaua mashahidi wanafamilia saba wa familia hiyo ya Abu Suleiman pamoja na mwanamke jirani katika nyumba iliyo karibu.
Maandishi asilia
Killed in her daughter’s home. It abuts the home of the Abu Suleiman family which was bombed. The bombing killed seven members of that Abu Suleiman family as well as a neighbor woman in a nearby home.