Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alijeruhiwa akiwa katika mtaa wa a-Shoka pamoja na wapiganaji wengine wa tawi la kijeshi la Hamas. Mmoja wa wapiganaji hao aliuawa shahidi papo hapo na mwingine alikufa shahidi kutokana na majeraha yake siku kadhaa baadaye.
Maandishi asilia
Injured while in the a-Shoka neighborhood together with other operatives in the military branch of Hamas. One of the operatives was killed instantly and another died of his injuries several days later.