Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alikuwa akitafutwa na Israel. Wanajeshi waliokuwa ndani ya gari dogo waliizuia teksi ya binamu yake na kuifyatulia risasi. Binamu yake, Firas abu-rish, aliyekuwa dereva wa teksi, pia aliuawa shahidi.
Maandishi asilia
Wanted by Israel. Soldiers riding in a van blocked his cousin's taxi and opened fire at it. His cousin, Firas abu-rish, who was the taxi driver was also killed.