Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi alipokuwa amesimama mlangoni mwa nyumba ya familia ya a-Sarsak, waliokuwa wakifuturu. Baba wa familia hiyo, aliyekuwa ameketi mezani, naye aliuawa shahidi.
Maandishi asilia
Killed standing in the entrance to the home of the a-Sarsak family, who were breaking fast. The father of the family, who was seated at the table, was also killed.