Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi nyumbani kwake pamoja na wanafamilia wake wengine 16 na watu wengine wawili katika shambulio dhidi ya nyumba tatu za familia yake kubwa. Nyumba hizo ziliporomoka juu ya watu waliokuwa ndani.
Maandishi asilia
Killed in her home together with 16 other members of her family and two other people in a strike on three homes of her extended family. The houses collapsed on the people who were inside.