Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alipigwa risasi na kuuawa shahidi na vikosi vya Israel vilivyokuwa vimezingira nyumba moja kijijini, baada ya kutoka katika kitalu cha miche kilicho karibu, alimofanya kazi pamoja na kaka zake wawili, waliotoka pamoja naye.
Maandishi asilia
Fatally shot by Israeli forces who were surrounding a house in the village, after stepping out of a nearby nursery, where he worked with his two brothers, who came out with him.