Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alipigwa risasi na kuuawa shahidi na wanajeshi wakati gari alimokuwa akisafiri – akirejea nyumbani kutoka matembezi ya usiku kwenye bwawa la kuogelea na marafiki – lilipopita kwenye handaki chini ya Barabara Na. 443. Vijana wanne waliokuwa naye garini walijeruhiwa kwa risasi hizo.
Maandishi asilia
Shot and killed by soldiers when the car in which he was riding - on his way home from a night’s outing to the swimming pool with friends - went through the tunnel under Route 443. Four young men in the car with him were injured by the gunfire.