Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi pamoja na kaka yake na baba yake walipokuwa wameketi kwenye mlango wa duka lao mkabala na shule ya UNRWA iliyoshambuliwa kwa mabomu. Watu wengine 17 pia waliuawa mashahidi katika shambulio hilo.
Maandishi asilia
Killed together with his brother and father while they were sitting at the entrance to their store opposite an UNRWA school that was bombarded. 17 other people were also killed in the strike.