Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Alikuwa na mtindio wa ubongo. Aliuawa shahidi pamoja na mama yake wakati kombora lilipopiga fleti yao kwenye ghorofa ya sita. Wapalestina wengine wawili walijeruhiwa katika shambulio hilo, mmoja wao vibaya.
Maandishi asilia
Had cerebral palsy. Killed along with his mother when a missile hit their sixth-floor apartment. Two other Palestinians were injured in the attack, one of them severely.