Maelezo ya B'Tselem (imetafsiriwa kutoka Kiingereza)
Aliuawa shahidi pamoja na wazazi wake na kaka yake nyumba yao na ya babu yake zilipopigwa kwa mabomu. Shangazi wa baba yake, aliyeishi katika nyumba ya karibu, pia aliuawa shahidi.
Maandishi asilia
Killed with his parents and brother when their home and that of his grandfather were bombed. His father’s aunt, who lived in a nearby home, was also killed.